Tuesday, August 14, 2012

JANA 13/08/2012 HATIMAYE TUKAONANA

Jana nilikutana na Da'Mija, ilikuwa ni shangwe tupu, story ndo usiseme.....was nice meeting u my dada, mwanamke wa shoka mkongwe kwenye masawala ya kublogisha, Love u so Much

Photo Credit: http://damija.blogspot.com/

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nimeona ingawa mimi niliambulia kuwasikia tu sauti zenu. Ila nilijikuta nipo nanyi..Mmependeza kweli..

Ester Ulaya said...

Asante Da Yasinta, yaani tuli enjoy mnoooo, nilifurahi kuongea nawe

ray njau said...

Undugu ni kufaana na siyo kufanana.
Hongereni na pokeeni pakacha la salamu.