Showing posts with label MAMA SALMA KIKWETE NA MJUKUU WAO. Show all posts
Showing posts with label MAMA SALMA KIKWETE NA MJUKUU WAO. Show all posts

Thursday, August 23, 2012

BABU, BIBI NA MJUKUU


Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na mjukuu wao Aziza Ridhiwani (3) katika ghala ya mahindi yaliyovunwa kwenye shamba lao kijijini Msoga, nje kidogo ya mji mdogo wa Chalinze, Mkoa wa Pwani. Rais Kikwete ni mkulima na mfugaji kijijini hapo na ameonesha kufurahishwa sana na mavuno makubwa ya mahindi shambani kwake. Hii  katika kutekeleza kwa vitendo sera ya Serikali  ya kuendeleza kwa ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya sekta ya kilimo katika Tanzania.
Picha na Ikulu