Wednesday, August 15, 2012

SIO KWAMBA TUBWETEKE NA KURIDHIKAJapokuwa tuna kila sababu ya kujivunia usafiri wetu wa daladala, haimaanishi kwamba tubwetene na kutokuuboresha. Mdau mmoja kanitumia picha hizi za usafiri wa daladala za MALI huko Africa Magharibi.

1 comment:

ray njau said...

Usafiri wa umma unahitaji maboresho yanayokidhi mahitaji halisi ya jamii.