Saturday, May 19, 2012

NAWATAKIA WEEKEND NJEMA: TUFANYE MAZOEZI KWA AFYA ZETU

6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ester si uwongo mazozezi ni muhimu sana katika maisha ya binadamu. Unakumbuka tulipokuwa wadogo tulikuwa tunatembelea ndugu jamaa na marafiki kila wakati lakini siku hi´zi watu wanakaa muda mwingi kweny kompyuta na hawakumbuki kutembea. Binafsi sina muda wa jwenda kufanya mazoezi aina hiyo ila nafanya nyumbani, pia nakimbia na baiskeli ndio gari langu:-)

Ester Ulaya said...

Yasinta usemalo ni sahihi, hongera kwa mazoezi ya nyumbani yanasaidia sana, kwani technology ya sasa inatuchukulia muda sana, hata kutembelea ndugu na jamaa hatuwezi, ngoja nami nianze

lenny said...

watu inabidi wajue mzoezi ndio yanapunguza mwili nakuleta afya njema sio midiet tu kila siku bila mazoezi

Ester Ulaya said...

Lenny dear, mazoezi yanasaidia sana, hasa upande wa matumbo diet pekee haikati tumbo, labda unywe dawa mbadala wasemazo zapunguza tumbo

R.Ngaiza said...

Unafanya My Wii? Asante kukumbusha siku Hizi nafanyia home tumbo litanikomaje sasa? ThAnx Wii pamoja. Love you

Ester Ulaya said...

My Wii love u too so much, mwenzangu nimeaamua nianze mdogo mdogo hasa ya tumbo, let me try lol,lakini ya home tu, tupeane majibu ukifanikiwa