Showing posts with label URBAN LADY. Show all posts
Showing posts with label URBAN LADY. Show all posts

Sunday, July 1, 2012

MAMBO YA KUPENDEZA - NILIKUTANA NAYE MCHANA KEKO - CHANG'OMBE DAR

Rangi ya macho aliipangilia kisawa sawa

Kwenye swala la maakuli hakujivunga...mwili haujengwi kwa matofali

Ni mcheshi sana alikuwa anakula lakini story zilikuwa zinashuka pia