Wednesday, April 10, 2013

LEO NI KUMBU KUMBU YA SIKU YA KUZALIWA YA MR. CATHBERT ANGELO


 Ikiwa leo ni kumbukumbu yako ya siku ya kuzaliwa, nakupongeza sana kwakuwa bado unapumua na una afya njema kabisa, endelea kufanya kazi kwa bidii pale unapokuwa na nafasi
 Jali afya yako bila kuisahau, kwani bila ulaji/unywaji mwili utayumba na hutaweza kutimiza majukumu yako
 Wewe ni mume bora sana, nafurahi na ninashukuru sana kwa matunzo unayoendelea kunipa hadi sasa, Mungu akubariki na akuongezee hekima zaidi, Upendo na afya njema ikiambatana na umri mrefu
Uwe kiongozi mzuri popote unapojikuta unatakiwa uwaongoze watu katika nyanja mbali mbali
NAKUPENDA SANA MUME WANGU.....ONE LOVE

7 comments:

Mija Shija Sayi said...

Hongera Shem kwa siku hii muhimu kwenu wote, na hongera kwa kuwa mume mwema kwa Mrs CA, Mungu akujaalie maisha marefu na yenye baraka tele...

Yasinta Ngonyani said...

Shem wa mimi hongera sana kwa siku yako ya kuzaliwa nakuombea maisha meme na yenye baraka.HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA.

Cathbert Kajuna said...

Napenda kutoa shukrani zangu za pekee kwanza kwa mke wangu kwa kunithmanini na kunijali kwa hali na mali. Mwenyezi Mungu akubariki na kukulinda. Pili niwashukuru Mashemeji zangu kwa kunitia moyo na kunitakia heri kwa yote ninayoyafanya. Mungu yu pamoja nanyi. Nakupenda sana Ester Ulaya Cathbert.

Cathbert Kajuna said...

Napenda kutoa shukrani zangu za pekee kwanza kwa mke wangu kwa kunithmanini na kunijali kwa hali na mali. Mwenyezi Mungu akubariki na kukulinda. Pili niwashukuru Mashemeji zangu kwa kunitia moyo na kunitakia heri kwa yote ninayoyafanya. Mungu yu pamoja nanyi. Nakupenda sana Ester Ulaya Cathbert.

Ester Ulaya said...

Asanteni sana kwa baraka hizo, cake usitunyime

Ester Ulaya said...
This comment has been removed by the author.
Cymah Wandelt said...

Dah aibu yangu jamani. aibuuuuu.

Shem wangu wa ukwee, Mungu azidi kukubariki na akusimamie katika kila utendalo. sitaki kusema happy b.b jamani naona hadi haibu kutaja mie, huu ugonjwa umenikosesha mengi, aibu inanijaa. But still H:B:B shem wangu wa ukweee. Mungu awalinde na awajalie yale yote mumuombayo.