Tuesday, June 19, 2012

LUNCH TIME....???????????

Bia na Senene....ladha yake ikoje mdomoni?

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Serengeti na Senene ....hata mie najiulize ladha yake ikoje mdomoni? Je Umeonja wewe mwenyewe?

Ester Ulaya said...

situmiagi kilevi, ndo maana nikataka watumiaji watujuze, hasa wa bukoba

R.Ngaiza said...

Ehehee My Wii hii ninoma bakumbuka ya bia Na mkate, kakangu alikuwa anapiga mkate Na rubisi sasa ni senene kwa bia Mwee niubunifu tu. Ntaonja senene Na rubisi nikija. Nimekumissije??

Yasinta Ngonyani said...

oh! kumbe..basi tungoje wa Bukoba..maana mie si wa Bukoba na sijawahi kula senene,,,sijui ni watamu kama kumbikumbi???

Ester Ulaya said...

my wii miss u sana, nikajua upo kwenye mitihani, nikaona nisikusumbue kabisa