Saturday, September 22, 2012

USIKU WA KUAMKIA ALHAMIS/SIKU YA SEND OFF ULIKUWA NI MKESHA WA HAJA.....SHUHUDIA MATUKIO

 POMBE YA KIENYEJI KOMONI.........MUZIKI WA HASA.......LAZIMA SHANGWE ZIWE SHANGWE
 WATOTO KWENYE MATUKIO KAMA HAYA HAWAKOSEKANI HATA MUWATOE VIPI...WANAPENYA TU
 HATA MIMI NAWEZA KUCHEZA HATA NIKIVAAJE....ILIKUWA SHANGWE MNOOOOOO.......STLE ZA KILA NAMNA
 INGIA KATI UONYESHE MAUJUZIII
 OYEEEEEEEEEEEE
 HAPO SASAAAAAA
 DJ AKISABABISHA
 CHEZA KIBODA BODAAAAAAAAAA
 UNANIJUA UNANISIKIAAAAAAAA......WEWEEEEEEEE
 KILA HUYO ANA NAMNA YAKE YA STAREHE...JAMAA ALIPOCHOKA AKASINZIA KIDOGO...ALIPOAMKA SHUGHULI YAKE ILIKUWA PEVU
 SWAGGA ZA KILA AINA ZILIKUWEPO
HAPO SASA...KUMBUKA AMESHAKUNYWA KOMONI HALAFU NA MASEBENE YA NGUVUUUUU

USITOKE HUMU....MATUKIO MENGINE YAJA

Wednesday, September 19, 2012

MAMBO YAMEPAMBA MOTOOOO: TRADITIONAL LAW APPLIED.....

Hata Bia zikiwekwa hapo...lakini Jasili haachi Asili........kimila zaidi Komoni ikiandaliwa

SARE SARE MAUA.......QUEEN ELIZABETH & KATE MIDDLETON

Channelling Her Majesty


Ride of their lives

SARANDA: SHERATON HOTEL ILIYOPO SINGIDA

Hapa ndo Saranda kuku wengi mnoooooo....wengine hadi wanataniaga kuwa hao siyo kuku ni Mwewe.....Mwewe gani ana paja kubwa hivi???????
 Maji yanazwa kwa kikombe
 Nyomi la haja.........moshi kuashiria kuna majiko yanafanya kazi
 Maji kikombe kimoja shilingi Mia 
 Biashara zikiendelea
 Mikooooooooooo
 Pia Waomba misaada wapo kama babu huyo

 Haya maaaji......haya maaji
 VYUKUUUUUUUUU
 WOTE KWENYE MSTARI....KUKU MZIMA WA KIENYEJI AMESHACHOMWA 5000/-
Babu ametengeneza kopo special na mti anaomba chochote kwakuwa Train ipo juu  hivyo mwenye chochote amdumbukizie humo

Tuesday, September 18, 2012

MPAKA CHINIII MPAKA CHINIIIIIIIII.........


Wacha weeeeeeeeee

DODOMA YETU ALONG RAILWAYBAADHI TU YA VIJIJI

 Station ya Dodoma Mjini.....train ilifika mida ya saa 2 asubuhi...wakashuka washukao...wakapanda wapandao....na tukashuka kuvuta pumzi na kuzunguka zunguka kidogo kabla safari kuendelea

 IDODOMYAAAAAAA
 Zao la Dodoma Wine.......tukauziwa tukabeba zawadi
Mabehewa ya Mizigo
 Vyumba vimepunguza mvuto, vitanda na mikanda yake imeishaaa......napenda kitanda cha juu na nilala hicho
 First Class ni ya Vitanda Viwili tuuuu....
 Juu na Chini ni Mnyororo jumla ya mabehewa 15 kama sikosei nilihesabu hivyo ukijumlisha na Engine/Kichwa yanakuwa 16

 Hiki kijiji kinaitwa Zuzu...sasa sielewi walikuwa na maana gani kukiita hivyo
Dodoma Inasifika kwa Ukame.....Check Ardhi Ilivyonuna

 Ubuyu na Ukwaju unapatikana kwa wingi Mkoa huu...ni mazao yanayostawi sana sehemu za Ukame...Hiki ni Kijiji Kingine
 Ndoo kama hii wanauza elfu mbili mia tano
 Kile paleeeeeeeeeee ni kisima cha maji cha kupump
 Asili yao Nyumba za Tembe
 Vikapu na Mifagio kwa wingi.............
Kofia za Kiasili kabisa zinauzwa....Hiki ni kijiji kingine tena baada ya Dododma Mjini
 Mtoto akifanya Biashara ya Mifagio akiwahi kwa style ya ki- Usain Bolt kupeleka kwa abiria kuwauzia 
Abiria wakiwahi Train iliposimama kwani kwenye vijiji kama hivi huwa inasimama kwa Dakika 2, zikizidi kunakuwa na shughuli isiyokwepeka........then inaendelea na safari
 Watoto wakifanya biashara ya ukwaju.......Mdau unaliongeleaje hili?
 Maskini huyu baba tulimuta kijiji kingine...inaonekana mzigo ulikuwa mzito...sasa kabla hajapanda na zile dakika 2 za Train kusimama ikaondoka kabla hajafanikiwa kupanda, ikamuacha duh
Babu akiwa busy akiuza Kofia