Wednesday, September 19, 2012

MAMBO YAMEPAMBA MOTOOOO: TRADITIONAL LAW APPLIED.....

Hata Bia zikiwekwa hapo...lakini Jasili haachi Asili........kimila zaidi Komoni ikiandaliwa
 TOGWA ikipozwa kwenye chombo maalumu ili iwekwe sehemu  maalumu...... iwe transformed to KOMONI
 Ikitawanywa kwenye vyombo mbali mbali kurahisisha upoaji
Vijana busy na Maturubai
Duh.....mimi nikiwa nasubiria Togwa kabla hawajaweka Chachu

Wazee wakifanya testing
Hapo sasaaa

Akina mama shughulini

Alulululuuuuuuuuuuu...........
Hapo sasaaaaaa

HII NI REAL LIFE HAKUNAGA FAKE LIFE HUMU NDANI

ENJOYYYYYYYYYYY & KEEP REFRESHING THE PAGE

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

kupika ugimbi/pombe nakumbuka mama alikuwa akipika ...ila duh! kaaazi kweli.

Mija Shija Sayi said...

Sasa hizi ndio shughuli...na shughuli ni watu na vitu vya kiasili..

mimi nasubiri nimuone mwali wangu..

Nawatakieni kila la heri.