Thursday, August 2, 2012

UPDATE YA MGOMO WA WANAFUNZI NA KUZIBA BARA BARA: KENYA

REPORTER WETU WA RURAL & URBAN BLOG ANASEMA: Kulikuwa tu na mgomo. WanafunzinHawakufurahishwa na kitendo cha mwalimu wao kuuza mbao za shule kwa wasomali kisha wakajenga msikiti shuleni kwao wakati kwa haraka haraka wengi wao inaonekana ni wakatoliki. Waliamua kuuchoma moto huo msikiti. Na tangu juzi usiku walikuwa wanapambana na maaskari waliotaka kuzima juhudi zao za kutangaza hoja yao. Ndipo asubuhi jana 1/8/2012 waliamua kufunga barabara eneo la KAJAIDO kama 100km toka Nairobi. Walizuia magari ya pande zote huku wakisema wanamtaka Waziri wa Elimu aje ili wamweleze. Sisi tulipofika tulikaa hapo kuungana na tuliowakuta kwa muda wa takribani masaa mawili. Mimi na Mmma mmoja na Mzee mmoja siwajui majina tulienda kuwaomba kuwa tunakwenda mbali waturuhusu tu tupite. Ila tukawashauri pia wajaribu kuongea mjumbe wa watu waliotumwa katika askari waliokuwa wamemwagwa wanasubiri amri tu. Tukawaambia mkishindwa wakaja polisi mtakosa hiyo fursa ya kuongea tena. Wakatusikiliza wakajikusanya wakajadiliana na kuanza mazungumzo. Na tukawaomba basi wafanyie mazungumzo pembeni ya barabara. Wakasita kidogo ila baadaye wakakubali. Ndio tukaendelea na safari.

Shukrani sana kwa Update hii

Wednesday, August 1, 2012

EXERCISE SWAP

Swap aerobics class for swimming: Just 30 minutes of front crawl burns 295 calories - it takes 46 minutes of aerobics to do the same. Aerobics classes vary in quality, but swimming is a great way to tone every muscle. Because the water cushions your body, it also protects joints.

CHINA NA MAREKANI MMETISHA KWA MEDALI....MNACHUANA KWELI KWELI


A message from BBA’s Alex to Kenyans


Tuesday, July 31, 2012 - "Hey fam, a lot of issues have arisen since I nominated my countryman for eviction from the BBA Stargame 2012. I wish to give my position on the matter hoping we can make peace and move on with life.

The main beef has been I'm a "traitor", "unpatriotic" and "not a nationalist". Fellow Kenyans, I'm nothing close to any of that.

I'm very proud of my nation, I respect my fellow citizens and I always showcase my country at all times. Guys, I was brought up with patriotism, integrity and honesty being drilled in me - And I believe in all those virtues. That's why I always displayed the Kenyan flag during eviction nights, task presentations and any other opportunities. I don't have to tell you this but I've always had my national flag in my bedroom. Our family sitting room has always had the national flag above the fire place. Our family cars have Kenyan flags at all times- And I strongly believe in my nation.

WAKATI TANZANIA MIGOMO YA WALIMU IKIENDELEA......KENYA WANAFUNZI NDO WANAGOMA

REPORTER ANASEMA: Wanafunzi hao walifunga barabara. Mwalimu wao ameuza mbao za shule. Kawauzia wasomali wakajenga msikiti wakati wao hawana kanisa. Wameuchoma huo msikiti leo. Walikuwa hapo barabarani tangu saa tano usiku jana. Risasi zililia sana huko kijijini kwao. Waliamua kuturuhusu tupite baada ya kuwaomba waongee na wazee na serikali waepuke kupigwa risasi


Habari kamili itawaijia baada ya muda kidogo

ULISHAWAHI KUCHAT NA MUNGU MTANDAONI?????? HUYU HAPA SASA MUELEZE MATATIZO YAKO

Ni Joke Chat, ni program watu na akili zao waliwaza weeee wakatengeneza hiii, kama uko na muda ingia  HAPA 
Yaani inachekesha duh, majibu yatokayo humo ni balaa

CAPTION PLEASE..........LIFE GOES ON


Tuesday, July 31, 2012

WACHINA NOMAAAAAAAA....CHECK MAANDALIZI YAO YA KUSHINDA CHAMPIONS

David Jones reveals how children are taken from their families and brutalised into future Olympians
Winning at all costs: Children are put through their paces doing punishing exercises to toughen them up
Children are trained at camps where the word 'gold' is hung on the wall to make them focus on success
Sweat and tears: A young girl is pushed through a tough gymnastics exercise, Lazima kieleweke
Young boys and girls are put through their paces at the Chen Jinglun Sports School, the alma mater of Ye Shiwen
The school also trained Sun Yang, who won the 400m freestyle at London 2012
The school recruits about 900 children from kindergartens in Hangzhou each year
 Yes team-mate, 23-year-old Lu Ying, this week attacked Chinas grindingly repetitive coaching regime
Chen Jinglun Sports School: At seven Ye could already perform 20 chin-ups - an exercise beyond the capability of most fit adults
Devastating speed: Chinese swimming prodigy Ye Shiwen

CHINA NDO WALIOKIWA WA KWANZA KUPATA GOLD MEDAL

MPAKA SASA WAO NDO WANAONGOZA KWA GOLD MEDAL 9 NA IDADI YA MEDALI ZOTE 17

TANZANIA MAANDALIZI YETU HUWA YAKOJE???? AU HATUPENDI KUJIFUNZA KWA WENGINE???

Monday, July 30, 2012

DStv KENYA OLYMPICS FLASH MOB - NIMEIPENDA SANA

Wakati wenzetu wakijiandaa na kutoa support kwa wanamichezo wao walioko London kuleta magold na masilver na mavitu mengineyo. 





Tanzania tunajifunza nini hapa??????

MSIMAMO WA MEDALI MPAKA SASA: OLYMPICS 2012



SIJUI TANZANIA TUTANG'ARA KIPENGELE KIPI...NGOJA TUWE WAVUMILIVU TUSUBIRI NEEMA