Monday, July 30, 2012

MSIMAMO WA MEDALI MPAKA SASA: OLYMPICS 2012SIJUI TANZANIA TUTANG'ARA KIPENGELE KIPI...NGOJA TUWE WAVUMILIVU TUSUBIRI NEEMA

4 comments:

clicksomemore said...

jamani Africa,Lets go!mbona huzuni

ray njau said...

Kila mbuzi hula majani kulingana na urefu wa kamba yake.Kupanga ni kuchagua na kuchagua ni kupanga.Michezo ni sehemu ya uchumi na maendeleo ya jamii ni bila bajeti makini ni kuyafikia malengo yanayagusa mioyo ya wadau na jamii kwa ujumla.Tutafakari na tujipange vema katika mbinu za medani.

clicksomemore said...

Phew! thanks to SA for Gold medal,wamefuta chozi la Africa khaa!looking forwards to loads of medals lol

Ester Ulaya said...

KAKA rAY U-SAHIHI

CLICKSOMEMORE UMEONA EEE, YAANIMWEH