Wednesday, August 1, 2012

WAKATI TANZANIA MIGOMO YA WALIMU IKIENDELEA......KENYA WANAFUNZI NDO WANAGOMA

REPORTER ANASEMA: Wanafunzi hao walifunga barabara. Mwalimu wao ameuza mbao za shule. Kawauzia wasomali wakajenga msikiti wakati wao hawana kanisa. Wameuchoma huo msikiti leo. Walikuwa hapo barabarani tangu saa tano usiku jana. Risasi zililia sana huko kijijini kwao. Waliamua kuturuhusu tupite baada ya kuwaomba waongee na wazee na serikali waepuke kupigwa risasi


Habari kamili itawaijia baada ya muda kidogo

1 comment:

ray njau said...

Sina hakika sana na si imani yangu kuwa mikikimikiki ya migomo ndiyo suluhisho la kudumu la changamoto zinazoyahanikiza maisha na mafanikio yetu.