Monday, July 30, 2012

DStv KENYA OLYMPICS FLASH MOB - NIMEIPENDA SANA

Wakati wenzetu wakijiandaa na kutoa support kwa wanamichezo wao walioko London kuleta magold na masilver na mavitu mengineyo. 

Tanzania tunajifunza nini hapa??????

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hata mimi nimeipenda mno ...swali nzuri je kuna tulilojifunza au?

ray njau said...

@Yasinta;
------------------------
7 Msipotoshwe: Mungu si wa kudhihakiwa. Kwa maana lolote lile analopanda mtu, atavuna hilo pia; 8 kwa sababu yeye anayepanda kwa mwili wake atavuna uharibifu kutokana na mwili wake, lakini yeye anayepanda kwa roho atavuna uzima wa milele kutokana na roho. 9 Kwa hiyo na tusife moyo katika kufanya yaliyo mema, kwa maana katika majira yanayofaa tutavuna ikiwa hatuchoki kabisa. 10 Kwa kweli, basi, tukiwa na wakati unaofaa kwa ajili ya hilo, tuwatendee wote mema, na hasa wale ambao katika imani ni jamaa zetu. _Wagalatia 6:7-10