Thursday, May 2, 2013

USAFI NA USALAMA WA CHAKULA NA MAJI: SEHEMU YA TATU

Usafi wa sehemu ya kutayarishia chakula


1. Hakikisha jiko au sehemu ya kutayarishia chakula ni safi.

2. Kusanya uchafu na mabaki ya vyakula na kuyatupa kwenye shimo la taka au kwenye chombo kilichofunikwa.No comments: