Monday, April 29, 2013

LEO TWENDENI MOROGORO TUKAMTEMBELEE AFANDE SELE

 Ilikuwa siku ya birthday yake....Afande Sele akiwa na rafiki zake wakichoma vichomwavyo
Hahahahaha kama anasema 'nipe hiyo nionje kama imeiva' sai sana

NAWATAKIA JUMATATU NJEMA WOTE

3 comments:

Mija Shija Sayi said...

Mbona wanavunja mwiko wa marasta? 'NYAMA'...

Anyway, raha kujipa mwenyewe..

Cymah Wandelt said...

rasta mzima hahaha n adhani anaagiza ndizi lol! basi mpenzi wa nyama hapa mate yananitoka lol.

Ester Ulaya said...

hahahahah halafu nilikuwa nimeshasahau sheria za marasta, duh