Friday, January 18, 2013

HEHEHEHE MAMBO YA MWAKA 1890..........MASSAGE ZA SIKU HIZI NI KUBEMBELEZANA TU FANYENI KAMA HAWA

 Re-creation: A photo from 1890s pre-revolutionary Russia shows a massage session in full flow at Oriental baths of Tbilisi, now capital of Georgia

 Treatment: The man on the massage table looks up at the photographer whilst the second man gets to work
 hehehehehehhee uwiiiii

No pain, no gain: Performing an 'Eastern spine massage' the masseur stands on the man's hands and legs


And relax: A shisha-pipe has been brought in as one of the men gets a final scrub 5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Duh! hapo kaaazi kwelikweli ..maana sijui ni raha au maumivu?..nawaza tu kwa sauti.

Mija Shija Sayi said...

Kwa watu wa mazoezi, hapo hakuna maumivu... Nadhani hii ni bora zaidi ya hizi za siku hizi..ila duuh...

Anonymous said...

I would actually love this....where do I sign up? haha

Cymah Wandelt said...

ahhaaa hahaa hapo my wii kuna kuvunjika mifpa manake mifupa yetu ya sasa migumu kama mawe ndo ukainyoshe hivyo tih tih tih, utakuwa unapata nka! nka! nka! kesho huamki

Ester Ulaya said...

kwa wenye mazoezi hapo inawafaa.....ila kama Da Mija uluvyosema za siku hizi ovyo kabisa....nafuu hizi zirudi ili heshima iwepo lol