Sunday, August 12, 2012

YULE BABA NILIPOST HABARI YAKE YA KUPATA AJALI NAMANGA-KINONDONI AMEFARIKI DUNIA: POLENI SANA WAFIWA

Jana nilipigiwa simu Na Magge akanipa habari za masikitisho kuwa ajali niliyopost siku ya Ijumaa yule baba hayupo tena Duniani...Mungu aiweke Roho ya Marehemu Peponi....Amina
Na huyu ndo aliyegongwa, Nasikitika kusema kuwa amefariki....roho iliniuma sana nilipopata hizo taarifa jana

No comments: