Tuesday, August 7, 2012

UNAPOKUWA SAFARINI SI VIBAYA UKAFANYA HIVI.........

Hapa ni Highway restaurant-Korogwe, Tanga. Watu wakijipatia mahitaji na zawadi za safarini kwa wapendwa wao.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Duh! matunda hayo karoho kamefanya paa!