Friday, May 4, 2012

KAZI NI KAZI

 Leo niko ofisini ila ki Field zaidi, hapa nikijiandaa kwenda kusaka nyoka mtaani
Naipenda kazi yangu aisee, hasa ikifika muda wa site, ijumaa njema wapendwa

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Da´Ester nyoka kama nyoka kweli au? Nimeipenda hiyo jezi ya ki-TZ:-)

John Mwaipopo said...

kusaka tonge, kiswahili kingine

Ester Ulaya said...

Yasinta kweli, t-shirt hizi huwa nzuri kweli, John uko sahihi kabisa

Mija Shija Sayi said...

Poa sana Ester, kaza buti mdogo wangu na Mungu azidi kukubariki.... umenifaa aisee.. Shukrani.

Ester Ulaya said...

Da'Mija Amen Amen