Sunday, July 29, 2012

BOXING: LEO MTANZANIA SELEMANI KIDUNDA NDANI YA ULINGO KWENYE OLYMPIS 2012 LONDON


MIDA IKIFIKA WAPENDWA AMBAO HATUPO LONDON TUSHANGILIE KUPITIA TV ZETU, 

MUNGU IBARIKI TANZANIA
Kwa ratiba nyingi tu za michezo iendeleayo tembelea Daily Mail utaiona bendera yetu kwenye category mbali mbali

3 comments:

Giancarlo said...

Una felice serata a te...ciao

ray njau said...

Acha tuone!!!

Ester Ulaya said...

Kaka Ray, hakushinda