Wednesday, July 25, 2012

LADYJAYDEE NA BARNABA KUPIGA SHOW KALI JUMATANO HII JIJINI ARUSHA

  Carolina & Komandoo
Nia na madhumuni ya Safari hii ya mwanzoni na katikati mwa wiki ni kuhudhuria event ya
Qatar Airways
Ambayo itafanyika katika viwanja vya Hotel ya Mount Meru Arusha
Usiku wa Jumatano ya tar 25 July 2012Marquee nyeupe inayoonekana ndio imeandaliwa kwaajili ya event hiyo
Shuhuli za upambaji, ufungaji vyombo na matayarisho mengine yalifanyika siku ya jumanne
 Barnaba ni mmoja wa Wanamuziki watakaofanya mambo Usiku wa hafla hiyo Lady JayDee na Machozi Band
Hapa ni katika Sound check kurekebisha Microphones, Ma guitar, Keyboards n.k
Matukio zaidi ya hafla ya Qatar Airways kuzindua trip mpya
Yatawajia hapo baadae.

KWA MATUKIO ZAIDI INGIA www.ladyjaydee.blogspot.com

No comments: