Tuesday, July 24, 2012

BASI LA SIMBA MTOTO NA DAR EXPRESS YAGONGANA USO KWA USO ENEO LA WAMI

 Hali ndivyo ilivyokuwa...
 Abiria wakiwashusha wenzao.
Basi la Dar Express lililokuwa linatoka Arusha na basi la Simba Mtoto lililokuwa linaenda Tanga yamegongana uso kwa uso maeneo ya Wami. Majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa katika hospitali ya Chalinze. 

1 comment:

ray njau said...

Aksidenti za vyombo vya moto ndiyo simba wa kutengenezwa na binadamu.