Sunday, June 10, 2012

NA HUU NI MWENDELEZO WA UFUNGUZI WA FRIENDS PUB

Shukrani sana kwa marafiki wote mliofika kutuunga mkono
Supu ya utumbo ilitawala
Story za hapa na pale ziliendelea
Supu tamu hadi jasho
Friends wakiwa Friends Pub, mimi penda sana nyie, support yenu ni tamu
Friends wakiwaelekeza Friends wengine kwa simu waliokuwa wanakuja Friends Pub
Mashemeji haoooo
Nadhani hawa ni Single Boys ......hahahahaha
Gabriel Mollel, namkubali kwa kazi yake


Vicheko vya furaha vilitawala
Kila mtu na wake


Tamuuuu
La Familia mlitisha
Nyama Choma time
Cute Smile, Jacobo na Kaka Lema
 Monica Kaaya mwenye t-shirt nyeupe na nyekundu....La Familia huyo alikuja pia na Group limemzunguka
Pretty Friends walijitokeza kwa wingi


 Wambua Juniour and friends
 Hapo vipi...GK yeye huwa nyuma nyuma yule kuleee nyuma
 Hii ilikuwa ni special Cocktail ya siku....friends cocktail yenye kilevi asante kwa Maggie kutuletea mtaalamu
 Hii yenye kilevi
 Na hii ilikuwa haina kilevi hayo ni machungwa na vikorombwezo vingine ndani.... hii nilikunywa sana, ilikuwa tamu kweli kweli

Karibuni tena na tena

No comments: