Sunday, June 10, 2012

SHUGHULI ILIANZIA HAPA...PART 1

 Kitu cha meeeeee....
Kazi ikiendelea ya kumchana chana meee
 Utumbo ukiwa tayari kwa supu
Hazikukosekana pia
Mchomaji hakuwa mbali na Fan yake
Kichwa na miguu/makongoro tutaanza nayo asubuhi kwa supu yake mkaribie sana..keep refreshing the page kwa matukio zaidi yaliyojili

Twawashukuru sana mliohudhuria na kutoa support yenu....FRIENDS PUB ni kwaajili yetu

No comments: