Friday, June 15, 2012

MNAKUMBUKA MAMBO YA WIMBOMBO NA ULINDI?????????

 Unapekechaaaaaaaaaa
Hadi moto unawaka....tulisoma kwenye history miti iliyokuwa inatumika kuwasha moto kwa asili kabla vibiriti havijaanza

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Au pia kugonganisha mawe,,,Historia ni soma zuri unajifunza mengi

Ester Ulaya said...

hiyo ya kugonga mawe inatakiwa ujue angle ipi unagonga, ili cheche ziruke