Friday, June 15, 2012

NGWE YA KWANZA IJUMAA YANGU INAISHA HIVI

 Nikiwa na Surveyor mwenzangu Site Mbagala
 Kazi ni kazi
 Fanya kazi mama, miaka yoooote uliyosoma ndo kazi uipendayo sasa unaifanya.....Shukrani kwa Mungu, I love my Job
 Tulikuwa na Mafundi wa Tanesco Site
 Tukifanya kazi ya kupanda Beacons
 Kuna mama alikuwa anakaanga dagaa na samaki
 Hapo anaelezea bei kila fungu
 Nikajitwalia dagaa wa kutafuna waliotoka motoni wa motooooo, kwa shilingi 500/-
Mlinzi aliyekuwa anatulinda na kutuonyesha Baadhi ya mipaka ya eneo kule juu ndo makazi yake

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ester nakuamini na nahisi nahitaji kuwasilina nawe nina swali...kwa kweli kazi kuipenda na ndo utaifanya kwa moyo wote...kazi nzuri ndugu wangu. Hao dagaa nimewatamani maana nimeona na chupa hapo pembeni ina pilipili au?

Ester Ulaya said...

YASINTA SAWA MPENZI, NICHECK KWA FB ACC UNIULIZE LOLOTE HASA INBOX.........UGALI NDO NILIKOSA NISHUSHIE HAO DAGAA

Majoy said...

Yani wee mrembo nakupendaga sana na huwa na-enjoy zaidi nikikuona upo kikazi zaidi...hongera love Mungu akujalie haja ya moyo wako ufanikiwe zaidi na zaidi.big kiss ijumaa hii Mungu akijalia naja friends pub!!

Ester Ulaya said...

Majoy asante sana mpendwa wangu, naamin mama anaendelea vema