Thursday, May 17, 2012

MUDA MWINGINE HAYA MAMBO HAYAKWEPEKI

 Letting her fans down? Former Miss World and Bollywood star Aishwarya Rai Bachchan has been lambasted by followers who suggest she should have lost her baby weight following the birth of her daughter

Muhindi huyu Alivyo sasa baada ya kujifungua mtoto wa kike ana umri wa miezi 7 kwa sasa, na analaumiwa na wananchi wa India kwa kutofanya juhudi za kupungua mwili na arudi kwenye umbo lake la zamani
'The most beautiful woman in the world': Aishwarya Rai won Miss World in 1994

2 comments:

Disminder orig baby said...

uuuh uzazi kweli kiboko yetu.

Ester Ulaya said...

hapa ni issue Disminder, wengi sana ikifika hapa ujanja mfukoni, wachache sana wanafanikiwa