Wednesday, May 16, 2012

KIPAJI KUTOKA MOYONI

Huyu mtoto anasoma St. Mary's Mwanza

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ama kweli hicho ni kipaji nilipoona nikasema ngoja nami nijaribu. Weweee ikabidi niombe msaada kuitoa miguu...Kaaaazi kawelikweli huu uzee huu:-(

ngaizaskids said...

Wow nimeipenda hii, wazazi wasikiache kizamie ndani kipaji hichi. Zamani nilikuwa hivi lol! Pata picha my wii unione hivyo ahahaa.

Ester Ulaya said...

Yasinta una utani na viungo vyako? ulitakiwa uvikunje ukiwa kama dogo huyo, My wiii hahahha ulikuwa mkali, bado unajikunja hadi now?

ngaizaskids said...

Ehehe niipate wapi hiyo bahati ningewapigia hiyo kwenye la family lol! Ntaanza nione km sivuni japo ningalimu.

Mija Shija Sayi said...

Mtoto yuko mbali huyu...