Thursday, May 17, 2012

BBA 2012: KAMA UKILEWA NDO UNATUKANA HIVI, WANYWAJI KUWENI MAKINI


Maana unaweza hata ukanywa maji mengi sana ukalewa, "nawaza tu kwa sauti"

6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kaaazi kwelikweli hayo majina waliyokuwa wanaitana, na hayo matusi duh! kweli pombe si maji...

emuthree said...

Pombe sio maji...na pombe ni chachandu ya Ibilisi..Tupo pamoja

Interestedtips said...

yaani Yasinta hayo majina makali kwakweli, Emu-three kweli kabisa Mzee wa kuwaza kwa sauti Kitururu upo?

Simon Kitururu said...

Nipo Dada yangu!Haki ya nani -siachi kuchungulia sebule hii hata ki ukimyakimya!

Interestedtips said...

ubarikiwe sana Kitururu pamoja sana

kokusimah said...

Cm imenibania mamii kesho kwa pc labda