Tuesday, April 17, 2012

KUMBUKUMBU NZURI

Hii ilikuwa mwaka 2005 Ndola - Zambia, watoto walikuwa wametengeneza mfano wa pool table, na goroli za udongo na fimbo, mimi ni huyo nimevaa kitambaa kichwani cha bendera ya Tanzania, Ubunifu mzuri. Hao watoto wengi wao walikuwa ni yatima na tulikuwa tumeenda kuwatembelea ikiwa ni moja ya program iliyotupeleka huko

2 comments:

Majoy said...

NILITAKA NIKWAMBIE NIMEIONA KAMA HII ZAMBIA KWENYE MIJI MIDOGO NI COMMON SANA...NIKACHEKAAAAAA!!
ILA MASHEMEJI ZANGU WABUNIFU WA KUKOPI LOL!!

Majoy said...

NILITAKA NIKWAMBIE NIMEIONA KAMA HII ZAMBIA KWENYE MIJI MIDOGO NI COMMON SANA...NIKACHEKAAAAAA!!
ILA MASHEMEJI ZANGU WABUNIFU WA KUKOPI LOL!!