Monday, April 16, 2012

SWAGGA ZA KTMA 2012

Chezea Bibi Cheka wewe na swagga zake
Wanaume TMK kazini
Hapo je!,
Kwakweli Mpoki huwa namkubali sana, haishiwi maneno, aliwahi kutuchekesha kwenye lift za hapa kazini na alikuwa ananitania mimi, tulicheka sana sikupata hata nafasi ya kujitetea sana sana tulisikitika Lift kutufikisha GF mapema na vicheko kuishia hapo, kiukweli alipendezesha shughuli hii ya KTMA, tupende vya kwetu, kitu cha mkeka hicho, safi sana mbunifu Manju
Hawa walikuwa ni Sikinde siku hiyo
Nadhani hisia zilimpanda
Hapo sasa
THT huwa ni wakili hasa kwenye swala zima za Dance
Unaona kazi yaoooooooo

Hongera sana kwa wote waliopokea Tuzo hizi, tujifunza kuwapigia kura washiriki na mwisho wa siku tusiishie kulalamika na kuwaponda waandaaji

Kwa matukio zaidi ingia Kajunason na Michuzijr

2 comments:

Anonymous said...

Thank you for your wonderful comment! Great! Brava!http://designer2078.blogspot.com/

ngaizaskids said...

Bibi cheka mimi amenimaliza, kweli kipaji hakizeeki. Mpoki natamani nikutane Naye live ntafurahi siku hiyo makwetu, msalimie ukikutana Naye.