Wednesday, March 21, 2012

Ya 5 ya Lady Jay Dee yazidi kununuliwa, Wahi yako mapemaaaaaaaaaaa

Hapa nilikuwa namnunulia wa mkoani, ya kwangu niliinunua jumamosi usiku wa tarehe 17 march
Shamim akiwakilisha kwenye zoezi hilo lililofanyika tarehe 18 march 2012 Shear Illusions Mlimani City Dar
Zilikuwa zinapigwa chata kabisaaa with love Jide
Mume shurti awe bega kwa bega na mkewe kwa lolote lile, Shear, Gadner na Jide
Nikiwa na mdogo wangu wa ukwee
Tulienda kumpa Jide Support siku anauza CD zake Mlimani City
Nyuso za furaha kabisa
La Familia
Gadner, Jide, Martin, Sab, Christina na Mimi
La Familia Tulipata fursa ya kuzindua Basi la Jaydee&Machozi Band
Kitu kinawaka tu, hongera sana Gadner na Judith kwa juhudi mlizo nazo hadi kuwa hapa mlipo leo. Big Up. 

Kwa matukio zaidi ya siku hii tembelea kwa KajunaSon na Shamim

No comments: