Thursday, March 1, 2012

MKOMAZI NATIONAL PARK

Mkomazi Nationala Park Ipo Mkoa wa Kilimanjaro, pia inapakana/ina share mpaka na Tsavo National Park ya Kenya
Milima ipo mingi tu

Kuna ndege wazuri wa kuvutia
Wanyama wadogo wadogo kama hawa, wamejaa

Maua pori pia yapo Mkomazi


Mandhari mazuriiiiii yakuvutia
Fahari ya Tanzania
Maeneo mengine ya Mbuga ni Msitu mzito, tuliambiwa huku juu wanaishi Vifaru
Maua mazurii meupe

Twiga wengi tu mbugani hapa

 Hicho kidole kinaonyesha njia/mkuza ulionyooka, huo ni mpaka wa Kenya na Tanzania
Tujenge utaratibu wa kutembelea Mbuga zetu, hata wageni wanapofika tunakuwa tunajua/tunafahamu wanachokuja kukiangalia nchini mwetu na hawatupiku kuyajua tunayojidaia nchini mwetu
Miamba pia ipo, hasa juu milimani

1 comment:

Mija Shija Sayi said...

Poa sana hii una refresh kwa kweli.