Thursday, March 1, 2012

Achomwa Moto Maeneo ya Kairuki-Dar

Wezi wanauzi sana, ila kwanini tuchukue sheria mkononi hadi kumuua? Na inaweza kuwa hakuiba na siyo mwizi kabisa, Serikali mko wapi?

1 comment:

Mija Shija Sayi said...

Si vizuri kabisa kujichukulia sheria mikononi, maana unaweza kuja kosea ukamwadhibu raia mwema.