Sunday, March 11, 2012

MKANDA WA SURUALI.....................

Kama aliweza kununua hiyo cheni ya kisharobaro, why alipuuzia kununua mkanda wa suruali? Ni mawazo yangu tu
Au alijua hautaweza kuonekana kwakuwa T-shirt au Shati litaziba?

No comments: