![]() |
| Wakazi/wenyezi wa Tabora wakicheza Bao |
Wakazi wa Tabora wanasifika kwa mchezo huu, kinachonifurahisha katika huu mchezo ni vile wanavyokuwa wanahesabu kete, na kujua wapi atakaposhinda na wapi atalalaConcentration inatakiwa, bila hivyo utafungwa sana


No comments:
Post a Comment