Umeona zana hizo kwenye mkeka? kuna Nyumbe 2, Kioo na Mashine ya kunyoa ndevu Hapo anaosha mashine yake kazi ianze
Nani alisema bila kwenda Salon, sipendezi?
Shughuli ikiendeleaHapa shughuli ikiwa ukingoni kabisa, na Mbwa wake pembeni, Radio akisikiliza pia
Kidevu kisafiiiiiiiiiii






No comments:
Post a Comment