Thursday, February 2, 2012

ONYESHO LA LADY IN READ 'RELOADED' 2012 KUCHANGISHA PESA KWA AJILI YA KUJENGA KITUO CHA KUSAIDIA WAATHIRIKA WA MADAWA YA KULEVYA

Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous Khamsin (wa pili kulia) wa Fabak Fashion ambaye pia ni muandaaji wa onyesho la Lady and Red 'Reloaded ' 2012 akiwa katika mkutano na waandishi wa habari kuzungumzia onyesho linalotarajiwa kufanyika Februari 10, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Kulia ni Bw. Mauldi Mlawa ambaye ni Katibu wa Kikundi cha Kikale Youth Care kilichipo wilayani Rufiji na Meneja wa kinywaji cha Redds Original, Victoria Kimaro ambao ni wadhamini wakuu wa onyesho hilo. Onyesho hilo linatarajiwa kuwakutanisha wabunifu wapatao 30 ambao wataonyesha mavazi yao.
Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous Khamsin wa Fabak Fashion ambaye pia ni muandaaji wa onyesho la Lady and Red 'Reloaded ' 2012 akiwa katika mkutano na waandishi wa habari kuzungumzia onyesho linalotarajiwa kufanyika Februari 10, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mauldi Mlawa ambaye ni Katibu wa Kikundi cha Kikale Youth Care kilichipo wilayani Rufiji. Onyesho hilo linatarajiwa kuwakutanisha wabunifu wapatao 30 ambao wataonyesha mavazi yao.
Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous Khamsin (wa pili kulia) wa Fabak Fashion ambaye pia ni muandaaji wa onyesho la Lady and Red 'Reloaded ' 2012 akiwa katika mkutano na waandishi wa habari kuzungumzia onyesho linalotarajiwa kufanyika Februari 10, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Kulia ni Bw. Mauldi Mlawa ambaye ni Katibu wa Kikundi cha Kikale Youth Care kilichipo wilayani Rufiji na Meneja wa kinywaji cha Redds Original Victoria Kimaro ambao ni wadhamini wakuu wa onyesho hilo. Onyesho hilo linatarajiwa kuwakutanisha wabunifu wapatao 30 ambao wataonyesha mavazi yao.
Meneja wa kinywaji cha Redds Original Victoria Kimaro ambao ni wadhamini wakuu wa onyesho hilo pembeni yake ni Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous Khamsin wa Fabak Fashion ambaye pia ni muandaaji wa onyesho la Lady and Red 'Reloaded ' 2012  pamoja na Bw. Mauldi Mlawa ambaye ni Katibu wa Kikundi cha Kikale Youth Care kilichipo wilayani Rufiji. Onyesho hilo linatarajiwa kuwakutanisha wabunifu wapatao 30 ambao wataonyesha mavazi yao.
Meneja wa kinywaji cha Redds Original Victoria Kimaro ambao ni wadhamini wakuu wa onyesho hilo.
Katibu wa Kikundi cha Kikale Youth Care kilichipo wilayani Rufiji Bw. Mauldi Mlawa akifafanua jambo kuhusu kituo maalum cha kusaidia waathirka wa dawa za kulenywa kiitwacho "Kikale Youth Care Group" kinachotarajiwa kufunguliwa Rufiji ambapo Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous Khamsin wa Fabak Fashion ambaye pia ni muandaaji wa onyesho la Lady and Red 'Reloaded ' 2012 atachangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa kituo. Kushoto ni Meneja wa kinywaji cha Redds Original Victoria Kimaro ambao ni wadhamini wakuu wa onyesho hilo. Picha na Habari na C.A. Kajuna, Kajunason Blog.
---
Onyesho la mavazi lijulikanalo kwa jina la 'Lady in Red 2012' linaloandaliwa na mama wa mitindo Tanzania Asia Isarous Khamsin ni la saba kwa mwaka huu.

Mama Asia Idarous Khamsin atakuwa anatimiza maonyesho ya mavazi yapatayo 100 kwa Tanzania tu mbali na maonyesho mengine ambayo amefanya nchi za nje. Hivi sasa mama wa mitindo anafanya kazi zake Tanzania na USA.

Mwaka huu onyesho hilo litazindua kituo maalum cha kusaidia waathirka wa dawa za kulenywa kiitwacho "Kikale Youth Care Group"

Wabunifu wapatao 30 watapanda jukwaani siku hiyo kuonyesha miotindo tofauti ya mavazi na tiketi zimeanza kuuzwa FABAK Fashions, Mikocheni Dar es Salaam na kwa mawasiliano zaidi unaweza kupiga 0784263363.

No comments: