Wednesday, February 1, 2012

KILWA KISIWANI WORLD HERITAGE SITE

Kilwa's Fort, was built by invaders to defend the island and for their protection in case of rebellion.
 Ngome
Madirisha yako juu na ni madogo kwakweli, wafungwa wa humu walikuwa wanapikiwa sana Pilau
Ngome nyingi za Pwani ya Waswahili zilitumika kama Magereza wakati wa utawala wa kikoloni. Ngome ya Kilwa inajulikana kama "Gereza". Ngome hii ya Kireno ilijengwa mwaka 1505

Makutani Palace
 Kisima
                               
Small Domed Mosque
                               
   Great Mosque
 Mahali pa Kutawaza
 
                               
  Tombs of the Kilwa Sultans

Huu ni Utalii wa Ndani, ukipata muda nenda katembelee Kilwa, utapata kufahamu zaidi yaliyojiri kipindi hicho

No comments: