Monday, November 24, 2014

KIKUNDI CHA KATAA UNENE FAMILY (KUF) CHAADHIMISHA MWAKA MMOJA

Kundi linalojulikana kwa jina la Kataa Unene Family (KUF) linaloongozwa na mwanadada Angel Msangi limeadhimisha mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake na kujiwekea malengo ya kusaidia idadi kubwa zaidi ya wenye uhitaji wa afya bora kwa kula kwa afya na mazoezi.

Kundi hilo lenye wanachama 30 limeadhimisha mwaka kwa kufanya mazoezi ya pamoja ikiwa ni pamoja na Aerobics, Kuogelea na Kucheza dansi katika Gym ya Rio iliyopo jijini Dar es Salaam na baadae kupata chakula cha pamoja cha usiku.
KUF ina wanachama kutoka mikoa mbalimbali nchini Ujerumani, Marekani na Uingereza.
Akizungumza katika sherehe hiyo ya maadhimisho ya mwaka mmoja, kiongozi wa kundi hilo Angel Msangi amesema anafarijika kuona watu wanapungua na kuwa na miili na ngozi nzuri kwa kuzingatia ushauri wa wataalamu na kuwa na nia kutoka moyoni
Kula kwa afya na kufanya mazoezi.
 Badhi ya Wanakikundi cha KUF walipokutana pamoja.
 Kila mmoja akitafakari.
 Marafiki wakifurahi.
 Mpiga picha wetu Ester Ulaya nae akipata ukodak.
 Wanakikundi wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kufanya mazoezi. 
 KUF wakifanya mazoezi.
Ukodak.
 Zoezi la kuogelea likiendelea baada ya Aerobics.
 Chakula
Kiongozi wa KUF Angela Msangi akikabidhiwa zawadi na Agnes Byera kwa kazi nzuri anayofanya ya kulingoza kundi.

Friday, November 21, 2014

IRON RICH GREEN SMOOTHIE RECIPES

1. Pear-Banana-Parsley Green Smoothie



1 large banana, peeled

1 large Bartlett pear, cored

1 cup fresh Italian (flat leaf) parsley

1 cup fresh baby spinach

8 ounces of filtered water

Calories: 280 ' Protein: 5 grams ' Fiber: 13.3 grams ' Carbs: 71 grams ' Calcium: 12% Iron: 5.3mg ' Vitamin A: 57% DV ' Vitamin C: 147% DV


2. Orange-Coconut Green Smoothie 



1 large banana, peeled

1 orange, peeled and deseeded

2 cups curly kale, chopped

8 ounces unsweetened coconut milk

Calories: 300 ' Protein: 9 grams ' Fiber: 6.6 grams ' Carbs: 61 grams ' Calcium: 30% Iron: 3.2mg ' Vitamin A: 118% DV ' Vitamin C: 340% DV

Monday, November 17, 2014

WEEKEND ILIENDAJE WAPENZI

 Rafiki yangu alinitumia hizi picha akiwa Ziwa Malawi
 Wakati mwingine siyo lazima ukajichanganye kwenye mchanganyiko wa watu, kuenda sehemu tulivu kama hizi inakufanya urelax na mawazo yatulie kabisa
Inaonekana alii enjoy sana ......Ziwa limetuliiia

NAWATAKIA KAZI NJEMA NA UENDESHAJI MWEMA WA MAISHA YA KILA SIKU

Wednesday, November 12, 2014

HUKO TUENDAKO NA HAYA MATUMIZI YA PHOTOSHOP NA CAMERA 360 TUTATAFUTANA HASAA



Chinese women who are entering South Korea seeking skilled plastic surgeons are undergoing such transformative procedures that they are struggling to get past airport security on their way home

Monday, October 27, 2014

HOUSE GIRL AMCHOMA KISU MTOTO JICHONI NA KICHWANI : MUNGU TULINDE WANAO

Dada wa kazi (Housegirl), aliyetajwa kwa jina moja la Rachel, mkazi wa Tabata-Shule jijini Dar, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuchukua kisu jikoni kisha kumchomachoma nacho mtoto, Samwel John (4) anayeishi nyumba ya jirani.
Kwa upande wake House girl alipoulizwa ni kwa nini alifanya kitendo cha kinyama kiasi hicho alisema kuwa alikuwa akitamani kumtoa jicho mtoto huyo.
“Alisema kuna shetani au roho ilikuwa ikimtuma amng’oe macho mwanangu,” alisema baba wa mtoto huyo anayejulikana kwa jina la John.

source: EATV