Tuesday, October 28, 2014

NIMEMKUMBUKA MTU WANGU WA NGUVU NINO...MZEE WA BAJAJI MJINI MAPUTO ALIKUWA ANAHUSIKA MNO KWENYE MISELE YANGU

Mambo ya B2A
Nikiwa na Nino
 Nikichagua zawadi


 Nikapata iliyonifaa

 Afrika ni Afrika tuuu
 Mzee wa Bajaji Nino
 Full kipupwe
ILIKUWA LUGA GONGANA HASA ILA TULIKUWA TUNAFANIKISHA ZOEZI.....MWENDO WA KIRENO

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante kwa kutushirikisha nasi angalao kwa macho, maana yamesafishika...