Tuesday, June 26, 2012

PIC OF THE DAY


TUCHEMSHE UBONGO KIDOGO LEO KWA KUCHEZA GAME

MAMBO WAPENDWA, LEO TUCHEZE GAME KIDOGO, JEDWALI LA KULIA LINA MANENO YA KIFAMILIA, KAZI YAKO NI KUTAFUTA KILA MOJA UNALIPIGIA MSTARI KWENYE JEDWALI LA KUSHOTO......TWENDE KAZI

MAPISHI LEO - NAMNA YA KUPIKA ROJO YA CARROT

 Kata kata Carrot ziwe nyembamba kwa wingi uupendao/waweza tumia vile vifaa vya kukatia, zote zinakuwa atleast size moja
 Kaanga vitunguu vyako viwe brown
 Weka nyanya ulizoandaa, ziseiwe nyingi sanaa
 Hakikisha zinalainika sana zinakuwa kama uji
 Halafu weka Carrot zako ulizokata kata geuza geuza, uweke na chumvi
 Baada ya hapo weka vitunguu swaumu ulivyotwanga ukachanganya na tangawizi kidogoo. Angalizo tangawizi iwe ni ka kipande kadogo sana, isizidi wingi wa kitunguu swaumu
 Geuza geuza ule mchanganyiko wote kwa pamoja
 Acha uchemke kwa muda, uwe makini isiive sana kama maharage
Halafu ipua Rojo yako, inakuwa tayari kwa kula na ugali,wali,viazi vya kuchemsha,pilau n.k.


Namshukuru Mama Mkwe kunifundisha pishi hili, ni rahisi sana na la haraka, tamu kweli kweli


NB. Hili ni pishi la kibongo bongo hasa nyumbani, angalia wingi wa mboga utakayo ndo ita determine viungo vyako viwe vingi kiasi gani


ENJOY UR MEAL

KUTOKA SHANGHAI-CHINA

Ndo katumia madawa ya kwao huko au kaumbwa hivi?????????
Mtaani
Wanafunzi wa Junior School

Asante mdau wa Blog kutoka China kwa matukio haya

Monday, June 25, 2012

BAGAMOYO TRIP WITH LAFAMILIA AND FRIENDS.....TULI ENJOYYYYY

PICHA ZINAJIELEZA, TULIANZA SAFARI NYUMBANI LOUNGE, TUKAENDA PALM TREE VILAGE BAGAMOYO, TUKAMALIZIA BEACH......





















HIZI NI BAADHI TU

UKIENDA NYUMBANI LOUNGE UNAPATA MSOSI WA NGUVU KAMA HUU


ANAMPELEKA WAPI??????????

Hapa ni maeneo ya Ikulu na Ofisi ya Makamu wa Rais
Sasa huyu Mgambo kamkamata huyu jamaa akaanza kushuka naye kule chini kama unaelekea Baharini.....Ocean Road...kwanini aelekee naye kule????
Akawa anampigisha story huku wanashuka....kwanini aelekee naye kule????
Kwanini asimpeleke maeneo ya kati kati ya mji ndo kuna Kituo cha Polisi
Haooo
Mgambo wa mji na Jamaa anayeuza sumu ya panya,mende,kunguni,viroboto, dawa ya Mapunye.........

Sunday, June 24, 2012

NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA - ULTIMATE BREAKFAST

Course Breakfast, Cuisine English, Serves 1-2, Cooking-Time 0hrs 20 mins 


Ingredients

  • 3 or 4 sausages of your choice
  • 8 mushrooms chopped
  • 2 Fresh Tomatoes. chopped
  • 3 eggs
  • 4 bacon diced

Method

  • Pour a little oil in a frying pan, chop your sausages, mushrooms, tomatoes and bacon and put all in the pan to cook, once cooked, crack the 3 eggs between the ingredients to make an omelete type meal once the eggs are cooked place onto a plate and enjoy !

Tips

  • Adjust the ingredients to however you like.
  •  
  •  HII WEEKEND KWANGU IKO BUSY MNO.....SAMAHANI KWA UKIMYA

Ni pale mnapigana...akifa unakuwa rafiki gafla

Saturday, June 23, 2012

GARI LA BIA LAPATA AJALI SUMBAWANGA...WANANCHI WALEWA CHAKARI

Hii imetokea leo jumamosi asubuhi majira ya saa tatu asubuhi baada ya gari ya kampuni ya Kanji Ladji inayobeba bia iliokuwa inatokea Mbeya kwenda Sumbawanga ikiwa imesheheni vinywaji kupata ajali na kuanguka majira ya saa tatu asubuhi.






 Kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi.....baada ya ajaali hiyo kutokea kijiji cha Mshani km 19 kutoka Laela-Sumbawanga ilikuwa kama sherehe kwa wengine kwani wanakijiji walivamia gari na wakaruhusiwa kunywa watakavyo ila hakuna kuondoka na chupa.....asubuhi watu walikuwa wamelewa chakari...Maisha bora kwa kila Mtanzania...

Asante sana Reporter wetu Wa Rural & Urban  Kutoka Sumbawanga Veronica