Monday, June 25, 2012

BAGAMOYO TRIP WITH LAFAMILIA AND FRIENDS.....TULI ENJOYYYYY

PICHA ZINAJIELEZA, TULIANZA SAFARI NYUMBANI LOUNGE, TUKAENDA PALM TREE VILAGE BAGAMOYO, TUKAMALIZIA BEACH......

HIZI NI BAADHI TU

4 comments:

R.Ngaiza said...

Acha kugusa kwa kidonda my wii nawatamaniaje?? Kwa Raha zanu Na umependeza Na mnyama wako. Nilikumissije sasa? Can't wait nairudia tena

Ester Ulaya said...

uje my wii, tumekusubiri sanaaaaaaaa

R.Ngaiza said...

Nakuja my wii nawatamani ni zaidi ya sana. Buthu

Yasinta Ngonyani said...

safi sana ahsante kwa kwa kutushirikisha nimejiona kama nami nilikuwa nanyi vile...