Thursday, January 10, 2013
Wednesday, January 9, 2013
BEEF STEW
Ingredients
700g stewing beef, diced
2 cloves garlic
1 onion, chopped
250g button mushrooms, halved
1 red pepper deseeded and finely diced
850 ml chicken stock
1 tbsp. Bisto Gravy Granules
2 tsp. dried mixed herbs
1 tbsp. fresh parsley, chopped
2-3 tbsp. oil
Method
1. Preheat the oven to 160-170C.
2. Fry the chopped onion on the oil than add the beef and stir-fry until brown on all sides.
3. Transfer the beef to a medium dish along with the garlic, onions, mushrooms, red pepper, stock and gravy granules. Season and add the dried mixed herbs. Cover and cook for 2 hours.
4. Uncover and stir the stew. Cover and return to the oven for 20 mins, or until beef is nicely tender.
5. Sprinkle over the chopped parsley and serve with mash potato.
By Lexi
Tuesday, January 8, 2013
HUU MCHEZO UNAKUKUMBUSHA NINI.........JE! WATOTO WA SIKU HIZI WANAUFAHAMU???
Ulishawahi peperusha TIARA??? unakumbuka nini enzi hizo??
Kunyang'anyana na wenzako, kuwafichia wenzako tiara zake......
Je! unakumbuka nini?........Watoto wa siku hizi sidhani kama wanacheza sana huu mchezo, hasa kuzitengeneza wenyewe huo ujuzi sidhani kama wanao, kama wapo ni wachache, wa sasa hivi labda wananunua ambazo ziko tayari kabisa
Monday, January 7, 2013
POLENI SANA WANAWAKE WA INDIA KWA YANAYOWAKUTA HASA UBAKAJI UNAOENDELEA DHIDI YENU...INASIKITISHA SANA
Jyoti Singh Pandey died of her injuries 13 days after she was lured onto a bus where she was gang raped. Her father Badri Singh Pandey has agreed to reveal her name 'to give courage to other women who have survived these attacks'. He calls the men who carried out the attack 'beasts' and calls for them to be given the death penalty. Five of the accused men are expected to appear in court for pre-trial proceedings on Tomorrow
Badri Singh Pandey, father of Jyoti Singh Pandey, 23, who was gang raped on a bus in New Delhi, India, poses for a picture in Ballia, Uttar Pradesh
SOMA ZAIDI HAPA
SOMA HAPA PIA
SOMA NA HAPA PIA, INASIKITISHA HUKO INDIA
Mungu azidi kutusimamia maana ni mitihani hasa kwa wanawake wanaofanyiwa vitendo vya namna hii
SOMA ZAIDI HAPA
SOMA HAPA PIA
SOMA NA HAPA PIA, INASIKITISHA HUKO INDIA
Mungu azidi kutusimamia maana ni mitihani hasa kwa wanawake wanaofanyiwa vitendo vya namna hii
NI JUMATATU NYINGINE...TWAANZAJE WEEK HII?
Wananchi wakiwa kazini.......hapo wanavuka Mto Ruvuma - kijiji cha Mkenda wakiwa kazini
Nawatakia wote kazi njema na wiki iwe ya mafanikio kwetu sote
Sunday, January 6, 2013
LADY JAYDEE YUKO MOSHI TAYARI KWA KUUPANDA MLIMA KILIMANJARO
Hapa akipata Mbege - Rombo
In Moshi with Deogratius tour guide bora kabisa atakaepanda nae Mt. Kili
Sleeping bags za Mlimani
Gloves
Kiatu
Yupo full
Safari yake ya Kuupanda Mlima Kilimanjaro itaanza kesho jumatatu saa 3 asubuhi.......Rural and Urban Blog Twawatakia heri katika upandaji wa mlima wetu huo na mfike Uhuru Peak mkipeperusha bendera yetu
MATUKIO YOTE YA PICHA NA JAYDEE KUPITIA ACCOUNT YAKE YA TWITTER
Friday, January 4, 2013
KIJIJI CHA MASANGA - TARIME
Wenyeji wakiwa kwenye maongezi ya hapa na pale
Wanafamilia wakipiga story na ugeni....nimekumbuka mno kijijini kwetu
Jinsi nyumba ilivyosilibwa na kuchorwa hayo maua inanikumbusha mno kijijini kwetu
Wednesday, January 2, 2013
DUNIANI KUNA MAMBO......ANGALIA WANYAMA WAKIVUTA SIGARA
Cats are among the worst affected by cigarette smoke because the carcinogens also stick to their fur
Zhora the chimp was taken out of her zoo in Russia and put into rehab because of her problems with alcohol and cigarettes
Treasure the cocker spaniel, who lives in Beijing, China, chases people who are smoking down the street and eats butts
Raju the monkey picked up smoking from his rickshaw driver owner Ramesh
A Puff adder called Po smokes one cigarette in the morning and one at night in Taiwan
The smoking terrapin in Yongji county, China gets through half a pack a day
JUA LINAPOKUWA KALI NA JOTO LINAFUKUTA TAFUTA KINYWAJI BARIDI
Mr. Kyelula akiwa anashushia Coke baridiiiiiii baada ya kupigwa na jua kali.....ni mdau mkubwa wa blog yetu, akifurahia pia kuuona mwaka mpya 2013, anawatakia heri ya mwaka mpya wadau wote wa blog hii.
HONGERENI KWA KUINGIA MWAKA 2013.........NA POLE NYINGI SANA KWA KUPOTELEWA NA MSANII SAJUKI
Wapenzi wetu wa Blog ya Rural & Urban.......napenda kuwapongeza sana kwa kuunza mwaka mpya 2013.......Si kwamba sisi ni wema sana kwa Mungu na anatupendelea.....yote hiyo ni mipango yake yeye Muumba......Leo hii alfajiri tumempoteza Sajuki....alijitahidi sana kupigania afya yake na walijitokeza wengi kumsaidia...lakini kwa Mapenzi ya Mungu amemuita kwake ikiwa ndo tumeuona mwaka....wapo wengi hawakuweza kuuona mwaka huu na waliouona kidogo Mungu akawaita.....Mungu azilaze roho za marehemu wote Peponi......Amen
Subscribe to:
Posts (Atom)