Friday, January 4, 2013

KIJIJI CHA MASANGA - TARIME

 Wenyeji wakiwa kwenye maongezi ya hapa na pale
 Wanafamilia wakipiga story na  ugeni....nimekumbuka mno kijijini kwetu
Jinsi nyumba ilivyosilibwa na kuchorwa hayo maua inanikumbusha mno kijijini kwetu

3 comments:

Mija Shija Sayi said...

Maisha ya hivi nayapenda sana... yaani watu wanafuraha, No stress at all..

God Bless our Africa..

Ester Ulaya said...

Kweli kabisa dada Mija

R.Ngaiza said...

jamani nami nimemiss kwetu. Jamani maisha yenye raha hakuna kustress kuwaza train linaondoka saa ngapi sijui nini yaani my wii umenifanya nitamani zaidi kijijini kwetu. asante sana