Monday, January 7, 2013

POLENI SANA WANAWAKE WA INDIA KWA YANAYOWAKUTA HASA UBAKAJI UNAOENDELEA DHIDI YENU...INASIKITISHA SANA

Jyoti Singh Pandey died of her injuries 13 days after she was lured onto a bus where she was gang raped. Her father Badri Singh Pandey has agreed to reveal her name 'to give courage to other women who have survived these attacks'. He calls the men who carried out the attack 'beasts' and calls for them to be given the death penalty. Five of the accused men are expected to appear in court for pre-trial proceedings on Tomorrow
Badri Singh Pandey, father of Jyoti Singh Pandey, 23, who was gang raped on a bus in New Delhi, India, poses for a picture in Ballia, Uttar Pradesh

SOMA ZAIDI HAPA

SOMA HAPA PIA

SOMA NA HAPA PIA, INASIKITISHA HUKO INDIA

Mungu azidi kutusimamia maana ni mitihani hasa kwa wanawake wanaofanyiwa vitendo vya namna hii

2 comments:

emu-three said...

Haya ndio matokea ya jamii pale inapomuweka mungu pembeni. Kama kweli unamwamini mungu huwezi kufanya uchafu huo, kama kweli adhabu kali alizamrisha mungu zingelitumika, watu wangeliogopa kabisa kufanya uchafu huo, unyama uliokithiri

Ester Ulaya said...

kweli kabisa emu-three, Hofu ya Mungu haipo huko, ndo maana unyama huo unatendeka...ila wakimuomba Mungu kwa Imani huo unyama unaisha