Monday, April 14, 2014

NAWATAKIA MCHANA MWEMA NA MLO MWEMA

UGALI NA MRENDA

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Eeeehhh jamani mama Alvin ubaya huo kutamanishana hivi....ni mlenda gani eti?

Ester Ulaya said...

ule mlenda wa unga unaweka vikorombwezo humo dada....unavutiaaa