Thursday, February 13, 2014

NIMEZIMISS NYWELE ZA ALVIN ALIPOKUWA MCHANGA3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ndo maisha mama Alvin, hawezi kuwa kachanga tu..Ila kweli alikuwa na nywele nyingi na zilimpendeza...zikikua tena sasa usimnyoe:-)

Cymah Wandelt said...

Dah unywele ka shangazi yake hihii. Zilikuwa nyingi na nzuri kweli kweli hope dadake atakuwa nazo km hizi nazaidi. Ndo kukua huko. D huwa ananiambia mama kwa nini ulinyoa nywele zangu ona sasa zilizoota ni mbaya.

Ester Ulaya said...

kweli kabisa dada yangu Yasinta

hhehhehehe my wii kama zako