Tuesday, October 22, 2013

WANA UMOJA FAMILY 7 WASHEREHEKEA SIKU ZAO ZA KUZALIWA MWEZI WA KUMI

Mnamo mwezi wa Oktoba wanachama saba wa kikundi cha Umoja Family walifanya sherehe ya kumbukumbu ya siku zao za kuzaliwa, ambapo wanachama hao walijikuta wamezaliwa mwezi wa Oktoba japo tarehe zilikuwa tofauti walichoamua ni kufanya sherehe moja.
Mhadhini wa Kikundi cha Umoja Family, Mema Berege akiongea machache wakati wa sherehe huku wageni waalikwa wakiendelea kukata kiu.
Wageni waalikwa wakifuatilia sherehe hiyo.
Mwakilishi wa mama Mlezi wa Kikundi hicho, Gadna Habash akitoa machache. Kikundi hicho kinalelewa na Mwanadada Lady Jaydee.
Wanachama waliokuwa wakiadhimisha kumbukumbu za siku zao za kuzaliwa, wakiimbiwa wimbo wa kupongezwa.
Keki ikikatwa...
Hapa ilikuwa ni lishe nikulishe...
Baada ya kusherehekea na wenzake, Bavon alipata keki toka kwa mahabuba wake ambaye alimsaidia kuikata.
Mambo ya shampeniiiiiiiiiiiiiiiiiii....
Mazungumzo ya hapa na pale yakiendelea kunoga...
Shampeni ikigawiwa kwa wageni...
Tusherehekee kwa pamoja...
Gadna akiwapongeza...
Mzee wa shangweeeeeee mwanzo mwishooooo akitoa glass ya pongezi.
Shangweee za hapa na paleee zikiendelea...
Marafiki wakipongezana... Malisa na Mama Alvin.
Mtu na mdogo wake... Mema Berege na Mama Alvin.
Hata mzee wa Kajunason Blog, Cathbert Angelo alikuwepo pia, hapo akimpongeza mkewe Mama Alvin. Katikati ni Lema.
Marafiki wakibadilishana mawazo.
Showlove...
Show matataaaaaaa kupamba sherehe.
Picha za ukumbusho nazo zilipamba...
Mazungumzo ya hapa na pale yamenogaaaaaaaaaaaa
PICHA ZOTE KWA HISANI YA KAJUNASON BLOG

2 comments:

Majoy said...

Wow mmependeza sana....Mama Alvin umependeza mno...na Mema nimefurahi kumuona kapungua vizuri kapendezaaa. Happy Birthday to all

Ester Ulaya said...

Majoy asante sana mamie.