Tuesday, September 10, 2013

JE! WEWE NI MPENZI WA NYAMA YA MBUZI? KAMA UNA SAFARI YA KWENDA TABORA AU UNAISHI HUKO HAPA PANAKUHUSU SANA

 PANAITWA IPULI-TABORA
 MNADA UNAOHUSU NYAMA YA MBUZI
 UNACHAGUA IKUFAAYO UNABEBA NYUMBANI AU UNACHOMEWA HAPO HAPO MNADANI UNAFAIDI
 UTUMBO UMEFUNGWA SAFI KABISA
 MRS. ALLEN KWENYE POSE KALI AKISUBIRI NYAMA
 NA VICHWA VIKIUZWA PIA
NYAMA NYAMA NYAMA.....YA MBUZI, NYAMAAAAAAAAAAA

No comments: